Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
T686
Kwhy ndio umeamua kumchukua Carba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu Yego habari ya huko
Si kila mtu anapenda mkia[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Pa kushikiria pawepo...
Sura hata mbuzi anayo.Uzuri wa mwanamke ni tabia
Jamani jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nipo aisee, huyu keshanigeuka. Wameungana na Carba wakakubaliana kusitisha mchakato ghafla eti.