Nina uzoefu maana nimekutanguliaBraza
Naomba usiendelee japo napambana sana na hili swala
Tezi dune hilo linakusumbuaEeeee nimepagawa... Mwambieni na kakaenu, sijui hawa wapare wanawachanganya na nini? Hiki kibob kipare cha mjini hata sijui kina nini
Dah. Nimepita hapo nikitoka kufanya mahojiano na 93.7 radio EFMTriple seven
CANTSTOPWONSTOP
Hitifaki imezingatiwa nimeupokea mwaliko kwa mikono miwili. Navuta siti karibu kabisa nishuhudie hoja hizi kuntuTumeanza leo mjengoni..!
Karibu kama mgeni wangu mualikwa ili utambulishe na Muheshimiwa SHIMBA YA BUYENZE huku tukikupigia makofi pwaa! pwaa! pwaa! pwaa! Kisha usimame utupungie mkono ili waheshimiwa wajue kuwa ni SENETA Cole Williams. [emoji4] [emoji4] [emoji16] [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hisani ya Cole. Safi mkuu, kwema huko?Kwa hisani ya Mwenyekiti wa misambwanda! [emoji3][emoji3] Mambo vipi lakini my ndugu?
Nini Tena keki ya niniBabe najitolea kununua keki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]