Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivyo wakati mwingine ukipata aleji usikimbilie duka la madawa, nenda tu jikoni kwako chukua binzari na uendelee na matibabu na ushuhudie maajabu haya bila gharama yoyote.
 
Aaha kumbe hii vita unaipenda eeeh? Sasa ngoja nikuadd na ww kwenye grup ya maadui zangu. Walah lazima nimshawishi andjul akupe lile busha ili jeuri ikuishe.
teh teh teh
vivian ananitegemea jamani mkinipa busha atakula nini,atavaa nini,atasoma vipi.
chonde chonde naomba unitoe huko kabisa ikibidi nirudishe mkataba kwa masilah ya mtoto
 
Dah pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…