Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unahangaika nao kwa jasho na damu, at the end anamtaka mamaake, you step a side, unalia na kujiuliza wapi unakosea kumlea? Unaamuuliza kama anakosa kitu,unawapeleka shule na unajitahidi uwahi kuwapokea, unafanya nao homework as if nawe ni uniq mwenzao. Finally wanakuuliza "when to see mom?"
Umeanza vzr ila hapo kwenye uniq mwenzao dah imebidi nicheke tu hahahhaha.
Ila pole sana, hakuna jaribu lisilo na mlango wa kutokea.
 
usimimine pwaa litadoda!
utaona tu linanywea zaidi ndio linaiva
mwisho mwisho kamulia kipande cha ndimu au limao
- geuza dakika mbili tatu

tayari!


Weka mezani.... kama hutakipenda hiki chakula
Baaasi mwenzangu nimekushindwa...wazungu wamejilamba vidole iwe wewe sasa hahahahahaaa

natumaini umemeza hata mate
kuunga-dagaa-kwa-nazi.png
 
Back
Top Bottom