Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
imejidhihirisha leoHahahaahhhahaaha
imejidhihirisha leoHahahaahhhahaaha
Kuwa mpole my princessHata sina ninachokielewa mana jana nilikuja humu hizo tuhuma nikaziona sasa sijajua nia ya huyu dadayako
Akina Daby ndiyo nani?Intavyuu hizi za Muosha Rungu na akina Daby huwa zina lengo gani? Ni watu kuwa famous au nini?
Wish him the best of lucky in advance hahahahah.Maandalizi ya mitihani yanaendeleaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ha wa yuuu
Eti unasemaaaaa??????Yule hana mpya [emoji23][emoji23]
Tunaku love piaNawapenda sana wadau wa likes
Mnajua nyinyi ni watoto wangu woteTuhuma gani, Bob mwenyewe alishindwa kukanusha jana.
Hahahhaa
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]kukutetea wewe kuhusu nsamaka??hapana
Wewe uliona wapi hana ???Hana bhana,unamlazimisha we ulimuona nalo wapi? Hahahha
Yaani hilo tuuuu.... Hela za mzee bwana yule ....Na kesho anafanya mitihani ole wake afeli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]atarudisha hela za mzee yule
Sijapigwa chini ila imebidi niwe mpole tu maana hata carba mwenyewe hana tofauti na mm. Na huyu mzee wa tukuyu anapenda misambwanda kwhy najua hapo badae tutaongea lugha moja tu.Ndio nasikia sasa. Wewe umepigwa chini. Nilisha kuonya huko nyuma. Nikakuambia Carba asiwe anakuja kwako kukusuka hukusikia