Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anza kusonga sasa polepole ukiongeza unga… kama sio mjita au msukuma (hahahahaaaa samahani lakini) lazima utataka ugali mwepesi hivyo usimimine unga mwiiingi utashaa!

- Songa ugali wako mpaka uone unga umepotea na ugali umeshikamana au nati nati sana
- Usiwaishe kutoa jamani…songa hata dakika tano hivi huku ukiuacha acha jikoni uive. Aibu ukitenga ugali mbichi mezani au ukute unakula mbichi kila siku ila hujui tu
- Mwisho ipua na utenge kwenye chombo chako.

- Wengine hunyunyuzia chumvi wakati wa kukoroga uji wa ugali ili kuupa ladha kidogo… kama nakuona ulivyoshangaa hahahahaa
- Ugali tayari
 
TUANDAE DAGAA MCHELE


Mara nyingi hawa huwa tunawanunu wameshakaangwa
Wanauzwa kwa mafungu, ni dagaa fulani wana nyama nyama na ukubwa wake unazidi dagaa wale wa mwanza....
sehemu wanazouza samaki wa kukaanga mara nyingi utakuta pia wanauza hawa dagaa mchele.
 
MAHITAJI
- Kitunguu
- Kitunguu swaumu
- karoti
-nyanya za kawaida
-Nyanya ya kopo/ pakti
- binzari masala/ royco/ curry powder/ Onga au chochote unachotumia
- pilipili manga
- Iliki
- Nazi
-Chumvi
- Hoho...hii ni ukipenda
na dagaa zako
images.jpg
images.jpg
 
Back
Top Bottom