Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji116][emoji116][emoji116]
af0c1c1975651b4dabd79c1334d4ff78.jpg
 
Hilo bus kama hauna ustahimilivu usijaribu kulipanda. Ninauzoefu na usafiri huo kwa miaka nane, acha kabisa. Hapo Bob anaongea siyo yeye kabisa, bado hajapambana na mtoto akikua kidogo na kuanza kuuliza mama yuko wapi? Ukisema yupo kwao anakuuliza kwanini? Ukimwambia tuliachana bado atakuuliza kwanini? Ndipo hekima inapohitajika kuanza kumjenga sasa,kosa dogo tu baba utaonekana ni USELESS hata umleaje.
Aiseeh!pole na hongera kuwa mzazi pekee wa kulea mtoto/watoto si kazi rahisi kwakwel maana atakua tu na atahitaji maelezo
 
Mlo wetu wa leo ni UGALI, DAGAA MCHELE za nazi na TEMBELE. Hapo penye ugali unaweza ukaweka wali au hata ndizi za kupika wewe tu upendacho.

TUANDAE UGALI…
Japo najua wengi tunajua kuusonga ugali ila huwezi jua labda wapo wasiojua kuusonga ugali. Acha tuelekezane tu.

- Bandika sufuria lako la maji ya ugali yachemke

- Koroga unga mimina kwenye maji…usikoroge mwepesi sana wala mzito sana

- Sasa uji uchemke, wengine stage hii wanaisha tu basi para para nguna hilo mezani
- Uji ukichemka vizuri hata ugali utatoka poa
 
Back
Top Bottom