Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ayaaa nimekosa kaushindi
Mambo ya malikes....
360K,
Mambo ya malikes....
360K,
Umeongea kwa hisia sana katibu, huwa inakera sana kufake kitu ambacho ni pendwa machoni pa watu...Unless kama siyo mzoefu. Hapo hakuna kitu hata avae nepi ni kazi bure....
haha! kumbe masihara sio mazuri, niombee msamaha jamani anitoe kwenye listUshawekwa ignore list so hataona comment yako. Pole jamani
haha! kumbe masihara sio mazuri, niombee msamaha jamani anitoe kwenye list
hahah! aseee MC ajatulia, kama b/harusi angekuwa na bp si angemuua```MC ANAMSIFIA BI HARUSI
Sasa nawapa sifa kubwa ya Bibi Harusi wetu huyu. Pamoja na kupendeza saana. Tangu namfahamu huwa havai nguo za ndani. Watu wote ukumbini wakaduwaa! Bw. Harusi macho yakamtoka, Bi harusi akaanza kutetemeka.
MC-Narudia tena kwa msisitizo na sijakosea. Bi Harusi huyu havai kabisa nguo za ndani. Yeye anavaa za nje ya nchi tu, kutoka Italy, England na USA si za Tanzania. Hebu mshangilieni."
Kila mtu "Ahaaaa kuuumbe!!!"
Je, asingefafanua ingekuwaje?```
Hahahha sawa boss.Tunajua historia yetu
Mambo kukaa vibaya kwa muda fulani siyo chanzo cha wewe kua mnyonge
Arsenal ndiyo timu pekee iliyobeba taji msimu mzima bila kupoteza even a single game season 2003/04.
Na ilienda 49 unbeaten[emoji41]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hahahha sawa boss.
air condition ipo lakin kipupwe sikisikii kabisa mpaka nitolewe kwenye list ya ISIS, hapa natoka jasho hadi unyayoniHahahaa kuna air-condition huko kula kipupwe bana ili siku nyingine usijekosoa wengine kiboya
Pa kushikia angalau panaoneka...[emoji15][emoji15][emoji15]
Mh yaan ww huchoki tuuuNaangalia tu kazi ya mikono ya baba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yego kwema?
Hahahahaha dah nyie watu jamaniPa kushikia angalau panaoneka...
Bai ze wei, mwenzio uniq ameingia.... Wewe niaje?
NumbisaUshawekwa ignore list so hataona comment yako. Pole jamani
Abeee mr wa nsamakaNumbisa
Tumshukuru Mungu
Habarini za asubuhi wakuuView attachment 582422
Salama kabisaAmen,nzuri tu,za wewe?
air condition ipo lakin kipupwe sikisikii kabisa mpaka nitolewe kwenye list ya ISIS, hapa natoka jasho hadi unyayoni