carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Shemeji nakutafuta nina mashtaka juu yakoYaani kamekuja na spidi ya mwanga. Kahubiri si kahubiri, kasingo faza si kasingo faza ali mradi vurugu tupu. Yaani watu wamevurugana wewe mpaka basi.
Na kwa vile ni Kapare basi hata hawa ng'ombe wenye viuno vyembamba na vichwa vikubwa kama siafu itabidi tuwachukue tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna. Ni shida sana !!!
XXII
XXXIII
XLIV
LXVI
LXXVII
LXXXVIII
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*TANZANIA NDIO NCHI PEKEE AMBAYO MZAZI ANAANGALIA TAARIFA YA HABARI HUKU AMESINZIA UKIBADILISHA CHANNEL ANAAMKA*
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
iPhone 7 /A1786)
HahahahahaHahahaha
Uwiiii
Haki ya mola wangu... Endelea kuwajaza kwenye hiyo list maana hakuna namna.Wageni lakini ujuaji mwingi
Maneno matamu sanaUnajitia kununa nuna×2 bila sababu tutaachana bure sembuse mimi na wewe tuliowahi kuoana. Daah msondo wana nyimbo tamu
Yapkesho nayo ni siku
Kazi kweli kweliHahahaha
Maana sina muda wa mabishano na simple minds
Hahahaha
Sasa hapo umemaanisha yenye uzito zaidi ndio hiyo, au?? Na mlonge ndani???Wizara ya Afya imesema yeyote anayeuza dawa za asili zisizosajiliwa zikiwemo za kuongeza nguvu za kiume atachukuliwa hatua za kisheria.[HASHTAG]#Mwananchileo[/HASHTAG]
Pamoja Mkuu naona speed yako kama kawaida kwenye kila uziile sana tu!!!
Sent from my iDevice using Tapatalk
yeah ila kuna siku napumzikaPamoja Mkuu naona speed yako kama kawaida kwenye kila uzi