mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Historia aicheziTunajua historia yetu
Mambo kukaa vibaya kwa muda fulani siyo chanzo cha wewe kua mnyonge
Arsenal ndiyo timu pekee iliyobeba taji msimu mzima bila kupoteza even a single game season 2003/04.
Na ilienda 49 unbeaten[emoji41]
Hahahahaha
Jamaa ananishawishi sana nami niwe naingia mida ya wangaMkuu HARUFU mutu ya mida ya wanga... Niaje kiongozi
Hahahah dah, ngoja leo nimuulize andjul yuko timu gani.Ukiwa na mume anayeshabikia arsenal hata ukichepuka atakusamehe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
360kMambo ya malikes....
360K,
HahahahahaIlikuwa zamani, sasa nimewachia myoyambendi na Bob12,vijana wa kazi
Hiyo ngumu kidogo nitajaribu kumshawisi malkia wanguhaha! kumbe masihara sio mazuri, niombee msamaha jamani anitoe kwenye list
Lakini hapana ulimwita jina baya sana siwezi hata Mimi kukusamehehaha! kumbe masihara sio mazuri, niombee msamaha jamani anitoe kwenye list