Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
HahahahaMkuu fuata kanuni za kunguru. Hatutaki kupata update kutoka kwako.
Naomba orodha ya matunda pendekezwa kwa tiba hii..Ili uone faida za matunda katika suala zima la afya ya mwanadamu, jenga mazoe ya kula matunda hayo kabla hujapatwa na maradhi, kwani kwa kufanya hivyo utaupa mwili wako ile kinga yake ya asili ya kupambana na adui maradhi.
Shemeji umeniweka kwa ignore list nini?[emoji22][emoji22][emoji22]Nipo shemeji. Mashtaka gani hayo? Nani amekukorofisha?
Rudi koromije tu jamani[emoji22]Kuna kimbunga huku kinaitwa Irma. Ni kimbunga (hurricane) kikali zaidi kuwahi kutokea katika baari ya Atlantic na inavyoonekana kitapita hapa nilipo. Ni heka heka watu wananunua maji na vyakula vya makopo. Tayari petroli imeanza kuadimika. Mimi nadhani nitasepa na kukikimbia. Namtafuta andaeitini nikimbilie kwake lakini simpati
Ati, Koromije na hurricane wapi na wapi?