Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ndio hivyoYaani nimecheka sana ni maajabu haya
Du hatari sanaMkuu naangalia kinachotokea Florida hapa, sijui huyu jamaa kama alisha ondoka tayari, gas ni shida na upepo una chachamaa
Mzee mwenzangu rafiki yangu pamoja na changamoto zetu acha tuyamalize.Nitakulipa mkuu,
Nakushauri achana na wake za watu mkuu!
Rekodi yako imechafuka sana.
Tangu mwaka 1981 unaendelea kukamatwa ugoni mpaka leo.
Mbaya zaidi kila mwaka idadi ya kukamatwa inapanda.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Namna ipo wanatakiwa kuwa gerezani ingekuwa kule kwetu China kifo kinawahusuKwakweli wacha tu tutazame hamna namna