Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zile tofauti tuziache kwenye gahawa tutayamaliza.
Biashara ya gahawa mbona umekula mtaji mzee
Kuhusu mtaji...mtaajiii hata wewe umechangia kunirudisha nilikotoka mkuu,
Sasa hivi nashindwa hata kujaza birika moja mkuu.
Fanya unilipe mkuu jaribu kuwa na huruma make mpaka sasa nakudai sh 73,460 zote umekopa kahawa kwangu tu.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Ila mbona waonekana biashara si mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…