Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
MAPISHI YA CHAPATIZA MAJI Mahitaji 1.Unga wa ngano nusu 2.Mayai 3 3.sukari kikombe1 4.iliki kidogo 5.maji kidogo Jinsi ya kutayarisha -weka unga kwenye bakuli la kukandia -weka sukari, iliki na mayai kwenye unga -changanya vizuri -weka maji kidogo alafa upigepige unga mpaka uishe tadutu -ongeza maji kidogo kidogo mpaka uwe mzito wa kutosha kupika -bandika chuma cha chapati -weka mafuta kidogo kwwenye chuma alafu ufute -sasa weka mchanganyiko kwenye chuma na usambaze kwa mduara -geuza chapati kwa kutumia kisu -waka mafuta na kijiko kimoja na uikaange mpaka iwe ya kahawia -epua na iko tayari kwa kuliwa.