Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] brooooNajua baby. Unajua kuwa show za kibabe nazo ni mazoezi tosha? Au unapenda kukimbia mchaka mchaka na kunywa vumbi na mafuta mabarabarani?
Mkuu kumbe ulipitia mafunzo ya golikipa huyu ambaye sasa ni marehemu. RIP Tarzan KessyYanga kids amenifundisha huyu
Mazoezi jangwani girls sec
ICUKapelekwa ya upande upi?hapa barabaran karibia na kituo cha daladala au ile ya upande wa kanisa kuu katoliki?
Tindu lissu amepigwa risasi kama Sita akiwa anaingia nyumbani kwake DodomaNani huyo?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] show za kibabe.....Najua baby. Unajua kuwa show za kibabe nazo ni mazoezi tosha? Au unapenda kukimbia mchaka mchaka na kunywa vumbi na mafuta mabarabarani?
Amepigwa risasi nyingi na watu wasiojulikana mpka sasa yuko ICU ya hospitali kuu ya mkoa wa DodomaNiliona uzi wa tetesi ila haikuchukua hata sekunde mods wakafanya yao
Mungu amsimamieMwenyekiti wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Taifa mh: Freemani Mbowe Akikabidhiwa Nguo Ambazo Alikua Amevaa Tundu Lissu Zikiwa Zimelowa Damu nyingi, Tumuombee Tundu lissu Kapigwa risasi nyingi tumboni na miguuni hali yake sio nzuri.
Mungu amfanyie wepesiTindu lissu amepigwa risasi kama Sita akiwa anaingia nyumbani kwake Dodoma
Huyu jamaa ni shida akifa itakuwa tabu sana we need him aliveMungu Amsaidie apone [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Broo bhana naona hesabu alikuwa adui yako kweli kweliNakumbuka mtihani wa la saba unaanzaga km masikhara hivi!
19+87=
219-45=
12x34=
59÷7=
....
Afu huko mbele sasa kuanzia swali la sita saba hivi, utajutaa:
Ndege inatoka Dar saa tatu kwenda Chato. Land cruiser VX linatoka Chato saa nne kwenda Dar.
Ikiwa spidi ya ndege ni 350km/saa na ya land cruiser VX ni km220/Saa, na umbali wa Chato-Dar ni KM 900, zitakutana saa ngapi?
Sa mi ntajuaje?![emoji125][emoji125]
Na hizi tochi zote barabarani na matuta, kuchimba dawa, kunywa chai ?!?(Traffic)???[emoji16][emoji16][emoji16]