Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Broo bhana naona hesabu alikuwa adui yako kweli kweli

CANTSTOPWONSTOP
Hesabu mhh. Viboko vikitembea nilikuwa naweza kupata A. Hatukuwahi kuambiwa faida yake na nilikuwa nadhani kuwa pengine ni game fulani hivi. Kumbe ndiyo lugha ya ulimwengu huu. Tungekuwa tunaambiwa application yake ingesaidia sana. Wamarekani sasa wanajaribu kufuta baadhi ya tanzu ambazo pengine haziwasaidii wanafunzi. Wengine wanafuta Calculus, Algebra, Geometry na hata Trigonometry. Wanataka kuwa na core math ambayo inamwandaa mwanafunzi kuendana na anachotaka kufanya huko mbele ya safari. Hakuna faida ya mwanafunzi anayetaka kuwa mwalimu wa lugha kumng'ang'ania asome Calculus. Ni kupotezeana muda tu !!!
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Umenikumbusha nilivyo kuwaga naikomalia trigonometry ya advance mwenyewe aisee. Ni hatari

CANTSTOPWONSTOP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…