Tulimwaga damu kutetea uhuru wa AFRICA nzima!Kwa jina la Mungu Mkuu Muweza wa yote Taifa la Tanzania liko/litakuwa salama [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Indeed mkuu Mungu akiwa na sababu na wewe anatendaMungu keshatenda maajabu yake tayari. Gari yake imekula risasi si chini ya kumi. Ni miujiza kuwa yu hai!!!
Basi tu tukio lenyewe lilivyo,hao watu wasiojulikana wanaweza kuwa rob madaktari.Duh !!!
Kisa?
Manabii mmeanza. 2020 mgombea wa upinzani si anaeleweka? Safari ya matumaini bado inaendelea ati!!!Kama Tundu Lissu kaandikiwa kuwa Rais 2020 no man can say no what God has decreed and declared.
Kakako hakuuzi anakujengea misingi ya heshima ili uheshimike, istoshe mzee wa tukuyu alishashindwa kutimiza vigezo na masharti.Hahahaha kaka kwhy unaniuza? Unataka kunivunjia ndoa yangu kwa mzee wa tukuyu.
Sikuuzi dada. Siwezi kufanya hivyo. Huyu mzee wa pwani alisema tayari keshakuchukua na umeshakubali. Haikuwa kweli? Au ni makelele ya akina Carba na kinyang'anyiro cha kuwania umama Viv viliingilia?Hahahaha kaka kwhy unaniuza? Unataka kunivunjia ndoa yangu kwa mzee wa tukuyu.
My love unaweza Jua watu wa nakupenda kiasi gani ukiwa na shida kwa Leo nilichokiona General hospital Dodoma serikali imulinde huyu mtu kwa gharama yoyoteMpaka habari za lissu nazisoma kwenye uzi pendwa!
Jirani nikupendaye, jirani mpenzi, wajua nakufuatilia nyuma kama fisi aufuatavyo mkono wa mwanadamu!! Yani siku Andjul akisema wa nini, Jua imekula kwakeJirani
Hahahha asante jirani mpenzi, na mm tayari nshafungasha kbs namsubiri tu anizingue nilianzishe.Jirani nikupendaye, jirani mpenzi, wajua nakufuatilia nyuma kama fisi aufuatavyo mkono wa mwanadamu!! Yani siku Andjul akisema wa nini, Jua imekula kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado bhana niko tukuyu kwa mzee wa misambwanda hahahhaSikuuzi dada. Siwezi kufanya hivyo. Huyu mzee wa pwani alisema tayari keshakuchukua na umeshakubali. Haikuwa kweli? Au ni makelele ya akina Carba na kinyang'anyiro cha kuwania umama Viv viliingilia?
Hahahha dah naona umepata msemajiKakako hakuuzi anakujengea misingi ya heshima ili uheshimike, istoshe mzee wa tukuyu alishashindwa kutimiza vigezo na masharti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Likes kea wana
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Wanzania"[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji111] [emoji111]Likes kwa wana
"Sipo kutafuta wachumba, nafanya kazi za Wanzania"[emoji125][emoji125][emoji125]
Gazeti nae yumo[emoji3]