mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
So sadMungu tenda miujiza kwa mh TL
Di Baggio what an Italian goal scoring maestro!
Kazi kweli kweli
Poleni sana wana DomDodoma iko kwenye chaos
BobGazeti nae yumo[emoji3]
Goal poacherDi Baggio what an Italian goal scoring maestro!
Nambie nsamaka
Tunakoenda/kupelekwa siyo mahali pazuri. Huenda ni gizani. Huwenda tukawe samaki ili mwenye nguvu...ni tukio baya, maana limepangwaMkuu Niko frustrated sana lakini wacha tupate likes tujifariji siamaini Tanzania tumefikia hapo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] ina umaAisee lissu anapendwa sana wabunge wengi wa ccm na upinzani wako hapa Generally hospital Indeed naona wanalia wote hapa so sad
Mzee wa namba tunapingana kuanzia kwenye mpira mpka siasa kwa hili la lissu we are together my broKama Tundu Lissu kaandikiwa kuwa Rais 2020 no man can say no what God has decreed and declared.
Huyu Tarzan Kessy kabla hajawa kocha, alikuwa ni golikipa wa yanga mwishoni mwa miaka 70 na mwanzoni mwa 80. Lakini alikuwa hapati nafasi kuchezaNo nilikuwa mchezaji wa ndani beki 4
Amin
Umoja na mshikamano vinahitajika bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kikanda, kikabila, kidini na ubaguzi mwingine wowote. "Tanzania kwanza mengine baadaye"tuombe "MWENYEZI MUNGU TUONDOLEE BALAA NCHINI" "TUENDELEZEE AMANI YETU"