[emoji106][emoji106][emoji106]Umoja na mshikamano vinahitajika bila kujali tofauti zetu za kisiasa, kikanda, kikabila, kidini na ubaguzi mwingine wowote. "Tanzania kwanza mengine baadaye"
Sent using Jamii Forums mobile app
AMUN RADuh !!!
Kisa?
Kazi kweli kweliPoleni sana wana Dom
AMUN RAAmani yetu
ExactlyKila jambo na wakati