Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Indeed
Wacha tupate likes tu hakuna namna kupatikana ni ngumuKwani walikuwa majambazi au ... Maana sijaelewa, hivi mtu akuvamie na smg risasi zaidi ya 20 mchana kweupee na si mwizi wa gari wala pesa.... ...leo tunaliwazana hapa kuwa watapatikana mmh , haya. Hivi wale waliomshambulia Absolom Kibanda walipatikana? mnikumbishe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha