Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sidhani kama walikuwa ni majambazi au la ila inaelekea walikuwa watu wenye lengo lao..
Kupatikana mmh sijui labda miujiza mana kesi itaishia kwenye uchunguzi wakati files zimetiwa moto
Cha muhimu ni kumuombea tu afya yake iimarike mana malipo ni hapa hapa duniani japo yanaweza chelewa
 
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…