Anasema na yeye anakusalimiaNaona mnafuata nyayo za wahenga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimie babe S
Muache mzee wa watu weweHahaha Andjul ndie Yakobo
Ile ndoa ilishavunjika siku aliyovishwa pete na KK,mimi nasingiziwa tu[emoji23][emoji23]Hatutaki utatusumbua kwanza umesha vunja ndoa ya Nsamaka
Mtani wangu aje ajibu hizi tuhuma za Rombo
HahahhahaMuache mzee wa watu wewe
Naona unamchokoza[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu si alijinyonga?mwanaume muoga huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]