Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Madenti SASkuli tupa kule nipo free saaa next week South Africa na Babe S. Wenye wivu ni mewaandalia katani mje mjinyonge
Lala tu uongeze urefu huo.Tutayajenga kesho dogo
Acha habari nsamaka, nsamaka anajitambua EBO[emoji3] [emoji3]Hatutaki utatusumbua kwanza umesha vunja ndoa ya Nsamaka
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hapana Mkuu unachagua mwenyewe kama unataka Pounds za kwa mama, Dollar za kwa Obama au Euro za Europe ili ukajichane popote pale duniani.
Teh teh teh pambana mkuu wengine bado member tu.Soon nitakuwa expert member
[emoji3] [emoji3] [emoji3] aka Bapa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wameanza kilevi mapema sana hawa! Wakifika O'level shurti wachanganye na nyagi ili kupata steam.
NAUZA TECNO C9 260000. no 0625672871Mleta mada like yangu ya tatu ee
Unavaaaje? Maana jana nilikuona unakatiza katiza mitaa[emoji23][emoji23][emoji23]imebidi nicheke kwanza
Mimi sivai vimini mkuu wala viblouse vya uchokozi
Halafu my princess una fujoHivi mitihani imeisha eeh?
Huko SA mnazamia au?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Napita kukusalimia tu[emoji124] [emoji124]
AMUN RAAMIN carbamazepine, tumuombee Mwenyezi Mungu amponye haraka. Kumuona huyu anatembea tena kwa nguvu zake mwenyewe kuongea na kuweza kufanya shughuli zake zote bila matatizo itakuwa ni furaha kubwa sana kwa Watanzania wengi wenye mapenzi mema na nchi yetu, baadhi wanaweza kabisa kutoa machozi ya furaha hiyo siku ya siku yaliyochanganyika na huzuni kwa kujua Mungu amemuepusha na uhai wake kuchukuliwa. Tumuombee Waungwana.
Hahahahaha
Hahahahaha jibu mubasharaHapana Mkuu unachagua mwenyewe kama unataka Pounds za kwa mama, Dollar za kwa Obama au Euro za Europe ili ukajichane popote pale duniani.