Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku kwetu mtu anaweza kusema "nikishindwa uchaguzi narudi kwetu kulima" lakini akishindwa kila siku utamuona Kariakoo anachagua mitumba[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] Mkuu kumbuka kuna yule wa Iringa aljiua mwenyewe. Huyu chifu PAZI KIBASIRA alikasirishwa na nyodo za yule mwingereza, alikasirika, lakini yeye aliwatuma watu wake wamkamate na kumfikisha kwake. Kisha akamtumbua na kuwapa wamfukie.[emoji3] [emoji3] ni ujasiri. Kulitambua hilo serikali imetoa shule nzima pale Temeke. Kibasira Nursery, primary & Secondary School. Muhimbili kuna jengo zima kwa jina lake. Na tuna mtaa wa Kibasira. AKUMBUKWE hata Koromije[emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]imebidi nicheke tuUngejua ninavyokufikiriaga jinsi ulivyo kuanzia sura, shepu, kimsambwanda na mengineyo pengine ungekubali tu kuwa hicho ulichovaa ndicho ulichovaa. Nakutakia wikiendi njema shemeji. [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Numbisa.. nazielewa nondo zako.. congrats