mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Unatuma kwenye adress isiyojulikanaEti njemba inauliza kitaa nikitaka kutuma maombi ya kazi kwenye idara ya watu wasiojulikana nayatuma kwa address ipi!? 😱😱😱
HahahhaaIambie hiyo njemba itume hayo maombi kwa mkewe au wazazi wake. End of story [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Pamoja dr wanguNilitoa ya moyoni tu
Good morningNilitoa ya moyoni tu
Kila la heriThis is Liverpool not Arsenal
Lazima wakae
AMUN RAMkasa wa Lissu unatumiwa na watu wengi kisiasa na kiuanaharakati uchwara. Ni hawa hawa polisi wetu wakiuawa kama ilivyokuwa inatokea kule Kibiti wanashangilia. Unafiki mtupu !!!
Cha muhimu Lissu apone tu basi [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
HahahahahaHalafu nisikie tena eti Bangi haina madhara. Nitaua mtu !!!
Mkuu habari za asbhYego nakuangalia tu[emoji102] [emoji102] .Macho yako ndio yameona hapo eee?
YapVITA VYA LIKES HAVIJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA
Kupungua likes na post.Hujajibu...
Umesema kuwa uzi huu kuanzia jana hauko sawa.
Nimeuliza hauko sawa kivipi?
Ni kuzidi kuliliwa kwa huyo mwanasiasa?
Ni kupungua kwa likes?
Ni nini?
Hili ni swali gumu?
Kwenye mkeka ndio shidaLeo haijaisha mkuu,kumbuka ni match day
HahahahahaNAMBA HAZINA MWISHO. NA LIKES HAZINA MWISHO
Yego kutikiHii ilikuwa ni kifungua kinywa spesho kwa Mh. Mwenyekiti wa kile chama, nimekisahau jina! [emoji3][emoji3]
HahahahahaPUNGUZENI SIASA, MIHEMKO NA UANAHARAKATI UCHWARA KATIKA UZI HUU. FOCUS NI LIKES NA SI KINGINE !!!
MorningMorning every one
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
HahahaVITA HIVI VYA LIKES VITAISHA LINI?