mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Pesa pesaNdio Hali halisi
Pesa sabuni ya rohoMkwanja unasababisha mpaka Ndugu kutoelewana.
Mkwanja unasababisha Watu kumalizana.
Mkwanja unasababisha Fitna.
Huu Mkwanja huu!
Amen[emoji1317][emoji1317]
HapanaMkwanja ni Shida
Michezo yote kwa ujumla kwa kweli napenda sanaHata mimi pia.
Ukiondoa Kabumbu.
Mchezo unaofuata ni Kitenesi
PamojaHata mimi pia
Kwenye BBall tupo pamoja mkuu huwa naamka alfajiri sana kuangalia NBA yaani ni uraibu toshaMimi pia Wakuu baada ya kandanda na Basketball ni tennis. Kwa wanawake ni Williams sisters ambao huwa naamka usiku wa manane kuwaangalia hasa kama ni semifinal au final. Venus kanibore kweli juzi kufungwa katika mechi aliyostahili kushinda.
Tennis kwa wanaume nampenda Rafa Nadal.
Hahahahaha[emoji41] [emoji23] [emoji23]
Wycombe
HahahahahaBAK [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] am just doing a lil jog sitomfikia kwa mbio hizo
Ulishawahi kukimbizwa na mbwa mkali labda unatoka shule mpka mama yako anashangaa Leo umerudi mapema eeeheHuwezi kunikamata, mbio za woga si mchezo! [emoji23][emoji23]
Salama mkuuKumekucha habari wooote
Na kwako piaAmani iwe kwenu
AminaBaraka ziwe kwenu
MshikamanoUhuru na umoja
AminaShari zipite pembeni