Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu niaje hali yako uko ulipo uko salama lakini
Ni kweli shimba mazingira umfanya mtu kuwa mwelevu sana
 
Duu... Hahaaa, ndiyo maana ile nchi Marekani wameshindwa kabisa kisawazisha mambo! Kama ndio hivyo basi vimjamaa navyo ni vijanja sana! [emoji3][emoji3]
Geography ya Afghanistan ni ngumu sana waingereza walipigana pale vita miaka kumi wakakimbia
Russia walipigana nao miaka kumi wakaondoka kimya kimya sijui America
Labda walichofanikiwa ni kuharibu miundo mbinu nyingi zao za maficho kule Tarabora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…