Mzee wa harakati chafu upo
Nipo na kilimo cha matikiti mzeeAlijizoeza kuwinda na kurudi na nyama za porini,
Sasa hivi anateseka sana.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Suit ya pink
Mzee wa liverKichwa kichafu
Gobore lako bado halijarudishwa?Nipo na kilimo cha matikiti mzee
Bado unakwenda shambani na shuka?Nipo na kilimo cha matikiti mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ya kweli hayo ngoja aje ajibuAlijizoeza kuwinda na kurudi na nyama za porini,
Sasa hivi anateseka sana.
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Asante muhimu ni uzima na afya bora mengine Mwenye Enzi atatenda kwa wakati wakeNamshukuru Mungu niko salama
Sema hii Jumapili ni njema hakuna balaa Jumapili
Ndio mzee wa liver[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Swali zuri sanaKwanini watu hawataki kufa?