ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mchina nawe uko kwenye hicho Chama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
HahahhaMzee wa harakati chafu upo
Niaje mkuuMzee wa liver
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee wewe mtata sana
Teh teh teh shamba ni mali unazungumzia mashamba gani tusivamie??
Du
Huyo mzee amenunua hadi miwani kali na hachoki kukaa kwenye pembezoni kwa barabara za kwenda market na super marketMchina nawe uko kwenye hicho Chama[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwambie atoe ufafanuziTeh teh teh shamba ni mali unazungumzia mashamba gani tusivamie??
Kwa wanaume masharti ni mengi mno ili uweze kuuziwa matikiti maji kwenye shamba la kichwa.Teh teh teh shamba ni mali unazungumzia mashamba gani tusivamie??
Mzee naona bado unakaa kutazama maua ya ulimwengu
HahahaaaSwali zuri sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] du hatari sanaHuyo mzee amenunua hadi miwani kali na hachoki kukaa kwenye pembezoni kwa barabara za kwenda market na super market