Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kilimo cha matikiti maji ni sawa,
Kwa tunaokujua tunaelewa malengo yako ya kuanzisha kilimo hicho!

Na sioni kama utarudisha hata robo ya gharama za kilimo hicho.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaji wangu wote utarudi kwa hiki kilimo japo changamoto ni nyingi shambani.
Kuna wale viumbe wanapenda kuja wakati wa mafuno tu
 
Back
Top Bottom