Dadako akishaolewa tena kwa kutolewa mahari kabisa basi mumewe ndo anakuwa na mamlaka naye. Kusrma kweli hata sijui yuko wapi. Nadhani Tukuyu kwa mumewe...Damu nzito kuliko maji ujue, wewe ni kaka mtu bana! Huyo mmewe na mtu baki tu! [emoji23][emoji23]
Wazungu bwana !!!
Dadako akishaolewa tena kwa kutolewa mahari kabisa basi mumewe ndo anakuwa na mamlaka naye. Kusrma kweli hata sijui yuko wapi. Nadhani Tukuyu kwa mumewe...
Wee Konge ....Nimekusoma kiongozi , wasije ota ngoja wa refesh [emoji3][emoji3]![]()
Huyu ameshameza Kitu