Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

likes ziwe nyingi au litakuwa kama jukwaa lingine tu...
Ni kweli. Imekuwa kawaida sasa kukuta post hazina likes au zina like moja. Nakumbuka wakati ule mimi na wewe pamoja na Mzee wa River tulisimama kidete kukumbushia kumbushia mara kwa mara kuhusu hili. Itabidi tuanze tena otherwise uzi huu utafikia kikomo.

Na wageni wanaopita pita huku wakaribishwe kwa bashasha lakini pia wakumbushwe kutimiza wajibu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…