Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Hapo ulipo hakuna hata anesema wewe ni mzuri ila iba uone*

*Utasikia "halafu mkaka mwenyewe mzuri tu sijui kwanini anaiba"*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

iPhone 7 /A1786)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Indeed Mkuu
Mimi nimeanza kupiga likes 13 hrs ago nipo 3 hrs by now
Labda kwa sababu napenda kusoma post za nyuma na kugonga likes
 
Shemeji iache familia yetu. Mbona shemeji mwenyewe kumbe ndo kamuweka sokoni? Imagine we unasikia dadako kawekwa sokoni anauzwa utajisikiaje? Nina uchungu sana shemeji kwa kitendo hichi. Puliizi....
Ila shemeji ungemuita kumuhoji mtuhumiwa kwanza
Maana huyo dada ako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha ninyamaze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…