Jambo la saba
Tai anapozeeka, manyoya yake huwa dhaifu na hayatamwezesha kupaa kwa kasi kama hapo mwanzo. Akiona hivyo huenda kwenye pango mbali na maadui, akifika humo kwenye pango hujinyonyoa manyoya yote hadi anabaki uchi kabisa. Anaendelea kujificha humo mpaka anaota manyoya mengine ndipo anatoka nje.
Tunajifunza nini? Wakati mwingine tunatakiwa kuziacha baadhi ya tabia mbaya ambazo zinatukwamisha kufikia mafanikio yetu makubwa.

Yote ni mema. Tumshukuru Mungu !!!Aah bana umehesabu vibaya huwa narudia hata mara kumi hahaha
Kumekucha salama kwa matarumbeta na nyimbo za ndege angani na mitini.
Huko je?irma keshapita na kufika mbali?
Tabia zinazotukwamisha kupaa kwa kasi kubwa ni mzigo kwetu. Tunatakiwa kuziacha mara moja. Sio tabia tu bali hata maarifa. Huenda bado unaishi kwa kutumia maarifa ya zamani ambayo yanakukwamisha kupaa kwa kasi kubwa kwenye mafanikio yako, basi unatakiwa kujifunza maarifa mapya ili uweze kufanikiwa kwa kasi kubwa.

AmenYote ni mema. Tumshukuru Mungu !!!
Kapotea tangu juzi. Majukumu bila shaka au safarini. Atarudi!ISIS..............
Njema sana.Mambo nsamaka habari za shy