Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mbona hiyo pool ni ndogo sana, halafu inakuwa imezungukwa na viti/vitanda karibu sehemu zote. Ina maana hawakumuona akitapatapa? Umenikumbusha mambo ya Simba Grill na Summit! [emoji23][emoji23]
Aisee mkuu mkuu hatukumwona Kabisa lakini kuna jamaa alikuwa anaangalia movement zetu pale ndio alitushitua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…