[HASHTAG]#ChampionsLeagueIsBack[/HASHTAG] : •Real Madrid wanaanza kuutafuta ubingwa wao 3 mfululizo wa mabingwa wa ulaya. - CR7 anarejea tena dimbani, baada ya kukaa nje kwa takribani mwezi. Ana rekodi ya kuwa mfungaji wa magoli katika msimu mmoja wa UCL hatua ya makundi - magoli 11. •Lionel Messi anahitaji kufunga magoli 3 tu ili kutimiza magoli 100 katika mechi za UEFA, Ronaldo ana 108. : •Marudi ya mechi za fainali ya UCL mwaka 2015 (Barcelona v Juventus) na fainali ya 2016 [HASHTAG]#UEL[/HASHTAG] final (Liverpool v Sevilla). : •Akiwa Porto, Iker Casillas anajiandaa kucheza msimu wake wa 19 wa Champions League. : •Leipzig na Qarabağ watacheza mechi zao za kwanza kabisa katika michuano hii, Feyenoord wao wanarejea katika usiku wa Champions League baada ya miaka 15.