Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Walitambulishwa, waliona mahali ikitolewa, wifi mtarajiwa anadai mchumba wa kaka yake ni prostit eti Ana rafiki yake anamjua kuwa afai.
Kwahyo kwa kiasi flani amekuwa akimshawishi mama kumuona mkwe afai.
Ni shida

CantstopwontStop
Huyo wifi ni mchawi tu [emoji57]mfyuu zake...
Kwani huyo jamaa hamjui tabia za huyo mtarajiwa wake?
Mawifi wengine kichefuchefu tu
Kwanza huyo wifi kaolewa
 
Alishirikisha na walijua anaenda toa mahari, pia Dada alikuwepo kama muwakilishi

CantstopwontStop
Huyo bidada anataka kuolewa yeye na kakaake ama?
Kama alitambulishwa kwanini asiongee maneno kabla ya mahari?
Huyo ni mchawi kasoro vitendea kazi
Haya mambo ya makopakopa si ya kuyaingilia kabisa kila mtu afanye maamuzi yake mwenyewe
 
Basi wazazi wanazingua,kama walikubali akatoe mahari basi hata mbele za Mungu ana haki ya kuoa kabisa,mana wao wameonyesha udhaifu wa kigeu geu,kama wangemkatalia kutoa mahari hapo sawa
Hata mimi ndo maana nashangaa,kwanini wasimkatae tangu mwanzo kabla mahari haijatolewa?
Inamaana hiyo tabia ndo wameiona sasahivi?
Watu wengine bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…