Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika hatua za mwanzo watoto wa mamba hutumia samaki kama chakula chao, kwa kadri muda unavyokwenda watoto hao nao huanza kuwinda wanyama na zoezi hilo huwa jepesi kwa kuwa idadi kubwa ya wanyama hufuata maji katika makazi yao, mnyama mkubwa ambaye maisha yake huathiriwa na mamba ni nyumbu na hii ni kwa sababu pindi wanyama hawa wafikapo mtoni hukamatwa kwa urahisi kwa kukosa tahadhari ya kutosha.
 
Kwa taarifa yako, mamba ni miongoni mwa wanyama wakubwa duniani, meno yake yamejipanga kwa mfano wa msumeno, ana macho makubwa, ngozi ngumu na mkia mrefu ambao humsaidia katika kuwinda, hupendelea kukaa kwenye maji lakini jua linapochomoza na linapo karibia kuzama, ndio wakati hutoka majini na kukaa nchi kavu.
 
Ajabu ya mnyama huyu ni moja, pamoja kwamba wanyama wanaokula nyama tu ndio huishi muda mfupi, lakini yeye maisha yake ni marefu anaweza kufika miaka 50 na zaidi. Namna unayoweza kuwatofautisha kwa jinsia zao ni muonekano wao, dume huwa mrefu zaidi ya jike pia huwa mzito zaidi jike
 
USILOLIJUA KUHUSU TEMBO.



1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi.
2. Tembo ana uzito wa tani 7
3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
 
7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.
9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa mwenzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao la kwanza)
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano.
 
Meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson anapigiwa upatu kuchukua nafasi ya Frank de Boer ambaye amefutwa kazi Crystal Palace baada ya kuwaongoza kwa mechi nne pekee. (Daily Mirror)
Sam Allardyce pia anahusishwa na kazi hiyo ya Palace. (Daily Mail)
Manchester United wamehifadhi jezi nambari saba kwa ajili ya mshambuliaji Antoine Griezmann, 26, ambaye wanaamini wanaweza mwishowe kufanikiwa kumchukua kutoka Atletico Madrid kwa £100m. (Daily Star)
 
Mshambuliaji wa Chelsea Diego Costa ameihamishia familia yake Madrid akiendelea kutarajia kwamba maafikiano yatapatikana kumuwezesha kurejea Atletico. (Football 365)
Chelsea wako tayari kushindana na Barcelona kumnunua kiungo wa kati chipukizi anayethaminiwa sana Bayer Leverkusen Atakan Akkaynak, 18. (Daily Express)
West Ham wamemchagua kocha wa Napoli Maurizio Sarri kama mtu ambaye wanataka ajaze nafasi ya meneja Slaven Bilic. (Daily Express)
 
Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anaamini uamuzi wa Neymar wa kuondoka Barcelona kwenda Paris St-Germain uliongozwa na pesa na si ndoto kuu anayotaka kuitimiza. Wenger amesema uamuzi huo unaonesha mchezaji huyo wa miaka 25 hataki kucheza na wachezaji bora zaidi. (BeIn Sports - kupitia Goal.com)
Wenger: Arsenal waliwajibu wakosoaji
Shughuli za Arsenal katika soko la kuhama wachezaji zinaweza kubadilika kwani mtu anayeongoza kuwatafuta wachezaji - Dick Law - anatarajiwa kuacha majukumu hayo, lakini Arsene Wenger amekanusha kwamba afisa mkuu mtendaji Ivan Gazidis atachukua majukumu ya Law. (Evening Standard)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…