mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee Mimi huko siko kabisa Mimi wembamba ni raha yanguAaaaha kumbe mzee wa liver ni member
CantstopwontStop
Mawezi street Upanga
Unakikana chama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee Mimi huko siko kabisa Mimi wembamba ni raha yangu
The one and onlyISIS
Kama mwanaume ataamua kumuoa, maana yake lazima atengane na ndugu zake.Mmh huyo dada atapata shida sana kwenye ndoa yake
Na kwako piaMchana mwema
Huo ni utani mkuuBado sijafaham vizuri labda tuulize ho chi minh amemficha nani?
[emoji468]Unakikana chama?[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:mista chea mani
Memba anarudisha kadi ya chama huku
#CHAWAMITA#
Asante sana mgeni humu ndugu zangu.Karibu mkuu
Arudishe wapi??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanachama wa kisiri siri huyo,ISIS amemjua akaamua amruhusu tu kiroho safiUnakikana chama?[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:mista chea mani
Memba anarudisha kadi ya chama huku
#CHAWAMITA#
Yap Siku hiyo sitasahauKwenye hiyo pool walikufa wengi tu, wengine hawa kujua kuogelea wajitosa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Word[emoji122][emoji122]Kama mwanaume ataamua kumuoa, maana yake lazima atengane na ndugu zake.
Mwanaume lazima aanzishe familia mbali na wazazi wake, mke anatakiwa ajue kuwa yeye ndiye chanzo cha mume wake kutengana na ndugu zake. Mwanamke anatakiwa ajitoe jumla kwa mume wake ili faraja ipatikane.
Mke aendelee kuwapenda ndugu wa mume japo watakuwa hawaonani, huduma kwa mama zisipungue kupitia kwa mke...
Baada ya muda kupita, waende nyumbani kumuomba msamaha mama...
TunakaribiaKaribuni kande na nazi mbichi
HahahhaaHalafu wanavaa na mashati makubwa hizi zama hizi
CantstopwontStop
AMUN RAAMUN RA zimekuwa chache sana japo ho chi minh alikuwa anaziquote sana
Anasema yeye na vimbaumbau ni kama jibapa na mlevi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Arudishe wapi??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanachama wa kisiri siri huyo,ISIS amemjua akaamua amruhusu tu kiroho safi
[emoji33] [emoji33] ISIS... ISIS... ISISIIIIIIIIIIOOOOOOO.......Huo ni utani mkuu
Hakuna wa kumficha Goddess
She is immortal
She is my soul mate
Alipo nipo
Hovyo sanaThey dress up skin jeans like women and they call it a fashion
CantstopwontStop