Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amesema anaenda Somalia,nimeshindwa hata kumuombea safari njema
 
[emoji101] [emoji101] [emoji101]
Eti wote pasua kichwa[emoji23][emoji23][emoji23]kasoro mimi na malkia wa masaki tu[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Habari ya kuamka shemeji
Nyinyi mna msimamo. Naheshimu sana mwanamke mwenye msimamo. Siyo kila mwanaume kujipendekeza pendekeza tu.

Kumekucha salama shemeji. Braza Cole siku hizi mbona haonekani onekani sana? Hata paraboz za kukudekesha zimepungua. Au singo faza keshafanya yake kichini chini?
 
Hahahahaha
Shimba Mimi kwenye hicho Chama siko bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaa wapi? Dalili nshaziona. Vile vya saizi saizi nzuri kama cha Carba. Flat kabisa kabisa, I don't think so [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Mimi sio mwanachama wa cha kile cha watu wale[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…