[emoji3] [emoji3] [emoji3]Buguruni sewa au kwa wahaya
CantstopwontStop
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Eeehh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yap Mkuu madushwa hayo wacha mzee wa Tukuyu acheze nayo na kaka yake SHIMBAKumbe anapenda vi portable kama Yegomasika? Yego anadai unaweza ukakibeba kiportable mfukoni halafu ukatembea nacho kwa madaha 🙂🙂 bila shida yoyote.
Hakuna mitihani wala nini una think like a BuddhaWanaume mnamitihani,daaah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ina maana wameongezekaTeam kivuruge ina member wengi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeeewe[emoji23][emoji23][emoji23]jipe moyoHakuna mitihani wala nini una think like a Buddha
Yap Mkuu ni kweli kama ukikosa kuingia Siku tatu hivi ni shidaNadhani ni kwa sababu ya speed ya uzi huu. Mie nafasi kama inaruhusu naanzia mbele halafu naweka target ya page 40 au 50, ila kama nafasi hakuna Mkuu inakuwa ngumu kurudi nyuma zaidi na ukakosa uzi huu kwa siku chache tu basi unakuta page kama 500 zimeongezeka kutokana na supersonic speed ya uzi huu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tenaaa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:msukuma popote ulipo pokonya simu huyu kijana akose vitu huku[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
KAMATA na Leyland daf zao aisee tumetoka mbali mpka yutong sasaMkuu nimeanza biashara ya maparachichi tangu enzi za usafiri wa magoma moto keria ya mizigo juu. Achana na relwe mizigo yangu ilikuwa inaozea Makambako.
Nikainjoi zaidi biashara yangu ujio wa KAMATA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizi ni zama mkulu ataki mawakili watetee wahaarifu yaani ni kufungwa tuZama za kuzalisha watu wasomi lakini walalamishi, hawatosheki wasio na uzalendo
Sent using Jamii Forums mobile app
17:4617:18
Kwa kwelisiku inakimbia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa kabisa lakini sio yale matembo portable Fulani hivi si unaona mwenyeweHapo waaatiii!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
17:4917:25
Tutafika tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Weeeeewe[emoji23][emoji23][emoji23]jipe moyo
Bob MakaniNi zama, zama CHADEMA chini ya wenyekiti Edwin Mtei na makamu wake Brown Ngwilulupi
Sent using Jamii Forums mobile app
nataka nipate kusikia maneno yake maana si kwa mashambulizi hayaSwali gani hili sasa?