moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Samehe 7x70. aliyekosea kisha akajitambua na akaomba msamaha asameheweSawa kabisa, hata mimi usinisifie sana,kukubadilikia hata dakika haiwezi kupita.Ni imani yangu kuwa sikuamini kwa hatua zozote za kujisafisha kwa kutumia gospo, wewe ni mharibifu... Period.
Sent using Jamii Forums mobile app