Sheria ya kuweka watu kizuizini iliumiza wengi.Haka kajamaa haka nako kanafiki haka. Kenyewe watu walikuwa wanapotea tu au kanakutia kizuizini miaka na miaka. Eti zidumu fikra sahihi za Mwenyekiti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa tujiulize, wakiufuta sisi tutakutana wapi rafiki zangu? hiyo haitapendeza, waachane na huu uzi waangalie mengineHii JF ya sasa hii mods wako overzealous sana. Sitashangaa kama wakiamua kuufuta huu uzi !!!
Vocha + MB= Likes???Hahahaha jaman wasiende na likes uwiii my vocha na mb aiseee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]unawaza likes eeh
Mara paaap likes zinachukuliwa na uzi unarudi kuwa new member[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bukta (fupi) na mihogo ya jang'ombe wapi,na wapi? Halafu likipita limsambwanda huko mtu unaanza kuaibika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha, likes hazijawahi mwacha mtu salama[emoji3] [emoji3]Mi nilianza hapa nikiwa na likes elfu 12. Wakiondoka nazo zote aisee hata JF nahama kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]