Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ni alhamisi nyingine tena
Tumshukuru Mungu kwa uzima aliotupa siku ya leo
Tufanye yanayompendeza[emoji120]
Hilo jina tu ndiyo shida. Mbona wasiyaite hata Ng'wanamalundi Water Falls? Au kwa vile huyo mzungu ndo alikuwa mzungu wa kwanza kuyaona? Pathetic!!!Je wajua kuwa Steiglers gorge water falls ndiyo maporomoko makubwa zaidi Tanzania?
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu zako zimepokelewa kwa mikono yote pamoja na upendo wa ajabu !!!Nawasalimu kwa salamu ya upendo
Mkuu, za kupotea kidogo? Consuela wako anakujaga hapa anakuulizia tunakutafuta weee wala huonekani. Punguza cha Kingston mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I'm back again
"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati IV"[emoji125][emoji125][emoji125]
Sorry naomba niikope hii picha
Siku mbili tatu hizi nilikuwa naumwa, katika kutafuta tiba nilikiwa nahangaika hospitali mbali mbali, nilikuwa nahisi kama vidonda vya tumbo but niko poa, bangi mbaya sana.Mkuu, za kupotea kidogo? Consuela wako anakujaga hapa anakuulizia tunakutafuta weee wala huonekani. Punguza cha Kingston mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]