Hilo jina tu ndiyo shida. Mbona wasiyaite hata Ng'wanamalundi Water Falls? Au kwa vile huyo mzungu ndo alikuwa mzungu wa kwanza kuyaona? Pathetic!!!
Tatizo ni letu, si la kwao .hayo maporomoko yapo ndani ya hazina kubwa ya Tanzania, yaliyopewa jina la mwingereza aitwaye Dr Selous. Kuanzia hapo na vinginevyo ni vya kizungu tu. Hifadhi hiyo ya akiba ina eneo lenye kilomita za mraba zinazozidi kwa pamoja nchi mbili za Rwanda na Burundi. Na ndani yake kuna maeneo yenye majina ya kienyeji ya kuvutia ambayo tungeweza kuchagua moja wapo tukaliita kwa jina hilo. Lakini wenye uwezo wa kufanya hilo wamepuuza tu. Ndani humo kuna majina kama Behobeho ambalo lipo karibu kabisa na maporomoko ya Steiglers, Nzelekela, Sumbazi, Mkulukatambula, Mloka, Matambwe, Kisaki, Ilonga Kizandachamasenga, Mbuga, Iputi, Mkwiji, Kingupira,Kidunda, Magogoni, Duthumi, Msolwa, Kinyanguru, Vikumburu, Gonabisi, nk nk. Hivi kwa nini tusitoe jina kutoka kwenye majina haya mazuri ya kiafrika tukaita pori letu hilo linalodaiwa kuwa ni la kwanza kwa ukubwa barani Afrika na la pili Duniani baada ya AMAZON.
Hilo jina tu ndiyo shida. Mbona wasiyaite hata Ng'wanamalundi Water Falls? Au kwa vile huyo mzungu ndo alikuwa mzungu wa kwanza kuyaona? Pathetic!!!
Tatizo ni letu, si la kwao .hayo maporomoko yapo ndani ya hazina kubwa ya Tanzania yaliyopewa jina la mwingereza aitwaye Dr Selous. Kuanzia hapo na vinginevyo ni vya kizungu tu. Hifadhi hiyo ya akiba ina eneo lenye kilomita za mraba zinazozidi kwa pamoja nchi mbili za Rwanda na Burundi. Na ndani yake kuna maeneo yenye majina ya kienyeji ya kuvutia ambayo tungeweza kuchagua moja wapo tukaliita kwa jina hilo. Lakini wenye uwezo wa kufanya hilo wamepuuza tu. Ndani kuna majina kama Behobeho ambalo lipo karibu kabisa na maporomoko ya Steiglers, Nzelekela, Sumbazi, Mkulukatambula, Mloka, Matambwe, Kizandachamaaenga,
Sent using
Jamii Forums mobile app