Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hapana shemeji. Nikiona himaya ya mdogo wangu inanyemelewa ni lazima nitoe tahadhari. Tena siku hizi waharibifu wanakuja kwa mbinu nyingi mbalimbali from gospoz, usingo faza, uandaeitini, kujifanya nyuki wa mashineni n.k. Kusema kweli kwa wenye mazizi hapa si mahali salama tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shemeji we ni mchochezi kumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AMUN RA10:15
Kama kawaidamambo yanakwenda....
Kama kawaida yetu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kafanyaje tenaTundulisu
Ulikuwa usiku wa manane huo niki logout maana huwa nikisahau wanashikaji wengi washika haka hizi device kimeo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu vyuma vipi tenamaisha yanaenda japo vyuma vimekaza