Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaha naona unajipeleka kwenye ban
Nina uzoefu mkubwa wa kukwepa ban. Tangu nijiunge hapa nilishapigwa moja tu na yenyewe ilikuwa jukwaa la JF doctor kule. Basi mi nikafunguka jamaa ana colorectal cancer nikidhani kuwa kwa vile tunaongelea medical issues tuko huru. Aaa wapi nikaishia kutandikwa ban ya wiki nzima. Hizi za mapovu hizi mtu hawezi kunipata !!!
 
Back
Top Bottom