mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Basi tumshukuru MunguSafi asee mambo yanaenda vizuri Mungu ni mkubwa bestii.
Unaogopa eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante kwa niaba ya uzi[emoji6]
Haya. Endelea kuzitafuta tu. Hata zipatikane wakati nishakuwa mhenga wa wahenga waliohengeka sawa tu shemeji. Take your time !!!Shem nilikwambia nakutafutia funguo jamani[emoji85] [emoji85]
Yapspidi imeongezeka
WhyThe other side of shilling remains an untold story
Uwe unaniwahia siti bhana,si wajua vyenye napenda ubuyu[emoji23][emoji23][emoji23]hadi nasahau likes siku hiziNiliwahi seat ya mbele kwenye uzi mwingine kufanya zile vurugu wakawa wanawaza Ban tu.
Kule niliona kila kitu na ile Team[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio President lakini ni kiongozi wa heshimaMungu Ambariki. Hawa watu wanauawa kinyama halafu yule mama (Su Kyii?) alipata mpaka Nobel prize sasa yuko kimyaa kwa vile kaingia kwenye system.
HahahaGonga likes mkuu. Hayo mawe yatachemka tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji22][emoji22][emoji22]Haya. Endelea kuzitafuta tu. Hata zipatikane wakati nishakuwa mhenga wa wahenga waliohengeka sawa tu shemeji. Take your time !!!
A year? I say never! Contractor anakamata mshiko anamwaga vifusi halafu anasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]A year
IndeedPesa ni sabuni ya ROHO lakini Mapenzi ni Kiburudisho cha MOYO
Kwisha habariYap nimepata tetesi, lakini Sina shida na wewe I trust you 200%