mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mzee wa kipyengaPye pye pyeeeeee
Bandika tu MkuuView attachment 588453
Kwa hiyo, andjul na SHIMBA YA BUYENZE, mnataka nisiwe nabandika humu vitu kama hivi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu aliyeenda somalia ajarudi badoWe shemeji wewe. La kwangu minyufa ipo ila napambana. Mbomoaji anasema yuko Somalia. Akirudi na shehena ya ei kei fote seven, maroketi loncha na ma mig twenti faivu huko basi nyufa si nyufa tena bali hata kifusi hakitaonekana. Let's hope for the best shemeji !!!
La Andjul niliona. Dada mwenyewe aliposema kuwa eti kawekwa sokoni basi nikajua kwamba wi havu e biiiigi purobulemu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
NYUMBU (Wildebeest) ni Mnyama mkubwa anayepatikana Afrika tu katika maeneo ya Savana na kuna aina mbili za nyumbu ambao wana rangi yeusi na mng'ao wa bluu au kahawia. Dume na jike wana pembe zenye umbo la ng'ombe na hupendelea kula majani mafupi.
HahahahahaKundi moja la Nyumbu linakadiliwa kuwa na nyumbu 300,000 hadi 400,000 na wakati wa kuhama huambatana na wanyama wengine wakiwemo pundamilia, na nyumbu ana uwezo wa kuishi miaka 20 ingawa wengi wao ni waoga sana licha ya kuwa na sura za kutisha.
Hahahhaa watu wasiojulikanaMbona wanicheka sasa? Afu ujue mm ni muungwana ndo maana nkakuulizia here in public....sitaki mambo ya kufwatwa na watu wasiojulikana mieee.
Marahaba. Mzima mama A-town?Shikamoo muhenga[emoji23]
Pole sana mama, Mungu akufanyie wepesi, akuondolee maumivu yote urudi kwenye hali yako ya kawaidaNiko naumwa umwa kidogo, mwaka juzi nilipata ajali sasa naona tangu wiki iliyopita viungo vyangu vimegoma kbs hasa miguu. Sina rah ndio maana sionekani sana humu.
Nishakuwa mama A-town tena?[emoji30][emoji30]Marahaba. Mzima mama A-town?
Mkawe na siku njema wapendwaView attachment 588756
Habari yako mkuuGood morning mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha huyu mzee upo mstari wa mbele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akhaa!!! Kwani mimi nimeona nini?Unanichokoza eeh?[emoji23][emoji23]
Ewe msukuma popote ulipo hebu pokonya muhenga huyu simu na nyenzo zote anazitumia kuingia jf kwa wiki nzima[emoji23][emoji23][emoji23]Akhaa!!! Kwani mimi nimeona nini?