Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kwahiyo ofa niliyokupa umeikataa?Nipo mkaavuuu... Ila wewe chasugu ni shida [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji113][emoji137]
Alitoa mawazo ya kuanzisha kibanda cha maandazi kwa pamoja tukapeana zamu kupika kwa week nikaanza vyema kabisa na wateja walikuja wa kila aina.Mpika maandazi eeh[emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa Kichafu baby hebu njoo mpika maandazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanafanyia nini magamba yake!?Mamilioni wameuawa na
kuuzwa katika miaka 10 iliyopita
Inakadiriwa kuwa kakakuona 100,000 hukamatwa kila mwaka barani Afrika na Ulaya na kuuzwa. China na Vietnam ndizo nchi maarufu ambazo nyama na magamba yake huuzwa.
Kutokana na hilo, Shirika la Umoja wa Mataifa la Hifadhi za Asili (IUCN) limemweka kakakuona kwenye orodha ya wanyama walioko kwenye hatari ya kutoweka duniani.